MoCU Repository

Co-operative Development in Tanzania, Recession and the Way Forward

Show simple item record

dc.contributor.author Rwekaza, Gratian Cronery
dc.contributor.author Maeda, Christina M
dc.date.accessioned 2024-12-27T06:08:30Z
dc.date.available 2024-12-27T06:08:30Z
dc.date.issued 2020
dc.identifier.uri http://repository.mocu.ac.tz/xmlui/handle/123456789/1848
dc.description.abstract Andiko hili limelenga kujenga uelewa wa ushirika kama falsafa, misingi na ueneaji wake nchini Tanzania. Pia kujenga uelewa wa ushirika kwa ujumla wake ambao umekuwa ukikumbwa na vikwazo na majanga ili kuona nii kifanyike katika kuleta ukombozi wa ukuaji wa ushirika nhini Tanzania. Msomaji, msikilizaji na mtumiaji hana budi kujua kwamba, andiko hili halilengi kujenga uchochezi bali kuleta uelewa. Pia yaliyomo humu ndani ni matokeo ya uzoefu na udadisi wa mwandishi. Andiko hili lisitumiwe tofauti na mantiki na makusudio ya kujenga uelewa na kuibua majadiliano ndani ya kongamano na kwa mtumiaji wa hapo badae. en_US
dc.publisher Moshi Co-operative University (MoCU) en_US
dc.subject Co-operative Development en_US
dc.subject Maendeleo ya Ushirika en_US
dc.subject Idara ya Menejiment en_US
dc.subject Development in Tanzania en_US
dc.subject Tanzania en_US
dc.title Co-operative Development in Tanzania, Recession and the Way Forward en_US
dc.title.alternative Maendeleo ya Ushirika Tanzania, Tumekwama Wapi na Tunasongaje Mbele en_US
dc.type Other en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search MoCU IR


Advanced Search

Browse

My Account