MoCU Repository

Ushirikishwaji wa jinsia na vijana katika ushirika

Show simple item record

dc.contributor.author Chambo, Suleman A.
dc.date.accessioned 2024-10-07T07:44:11Z
dc.date.available 2024-10-07T07:44:11Z
dc.date.issued 2012
dc.identifier.uri http://repository.mocu.ac.tz/xmlui/handle/123456789/1520
dc.description.abstract Taasisi ya ushirika ina umri wa miaka 168, tangu ilipoibuliwa huko Rochdale Uingereza. Ushirika huu si sawa sana na ule wa jadi, ulioishi barani Afrika kwa muda mrefu huko nyuma, ingawa baadhi ya maudhui yanakaribiana.Dhana ya ushirika wa jadi, na şuala la watu kushirikiana halikuwa na mjadala kwa sababu lilikuwa ni tendo la kanuni za jadi na lililenga kuihifadhi jamii ili iendelee kuishi kwa vile kushirikiana kulikuwa ni sehemu ya maisha ya uchumi wa kujikimu ambao ulikuwa hauzalishi ziada. Ushirika huu ulilazimika na bila kufanya hivyo, jamii ilikuwa hatarini kupotea kwa kukosa usalama wa chakula. Watafiti kama Craig, 1976, wameuita ushirika moja kwa moja au (automatic cooperation) au ushirikajadi. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Moshi Co-operative University en_US
dc.subject Ushirikishwaji en_US
dc.subject Jinsia en_US
dc.subject Vijana en_US
dc.subject Ushirika en_US
dc.subject Uzinduzi en_US
dc.title Ushirikishwaji wa jinsia na vijana katika ushirika en_US
dc.title.alternative Mada iliyotolewa kwenye kongamano la uzinduzi wa mwaka wa umoja wa mataifa wa ushirika en_US
dc.type Other en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search MoCU IR


Browse

My Account