MoCU Repository

Ushirika katika ujasirishaji wanachama Tanzania

Show simple item record

dc.contributor.author Chambo, Suleman A.
dc.date.accessioned 2024-10-07T07:15:16Z
dc.date.available 2024-10-07T07:15:16Z
dc.date.issued 2007
dc.identifier.uri http://repository.mocu.ac.tz/xmlui/handle/123456789/1519
dc.description.abstract Ujasirishi ni dhana ambayo imeingia katika msamiati wa ushirika hivi karibuni (Chambo 2001) hasa baada ya mjadala wa miaka thelathini ya ushirika unaosimamiwa moja kwa moja na Serikali. Mjadala huo umekuwa ukizingatia mambo mawili makubwa: Kwanza, ilijidhihirisha wazi wazi kuwa ushirika 'unaosimamiwa na serikali moja kwa moja utaendelea kuwa tegemezi na kwahiyo utashindwa kuleta maendeleo ya uchumi kwa wanachama wake. Lakini upande wa pili unaodai hoja ya ujasirishi unazungumzia hali halisi kuwa ushirika kama asasi ya wanachama, baada ya kuondoka katika uongozi wa serikali, unahitaji wanachama walioandaliwa katika uchumi wa kujitegemea. Ushirika unaojitegemea unahitaji wanachama waliojasirika. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Moshi Co-operative University en_US
dc.subject Ushirika en_US
dc.subject Ujasirishaji en_US
dc.subject Wanachama en_US
dc.subject Tanzania en_US
dc.subject Mjadala en_US
dc.title Ushirika katika ujasirishaji wanachama Tanzania en_US
dc.type Other en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search MoCU IR


Browse

My Account